Wednesday, October 24, 2012

Huyu ni Martin (Mratibu wa CCMP mkoa wa Geita-AICT) na Mchungaji Isaya, Mratibu wa CCMP Tanzania, wakishauriana mambo machache wakati wa semina elekezi kuhusiana na mpango mkakati wa kanisa la AICT Geita Mwezi April 2012.

No comments:

Post a Comment